Ruka kwenda kwenye maudhui

Roote Restaurant System

Mgahawa wako wote,
kwenye skrini moja.

Oda inaandikwa mara moja. Jikoni wanaiona papo hapo, kasha anahakiki malipo ya taslimu na simu, stoo inajihesabu, na wewe unaona faida ya leo kwenye simu yako.

Your whole restaurant on one screen: orders, kitchen, cashier, mobile money, store and today's profit.

Dashibodi ya mmiliki: mauzo ya leo, oda, pesa iliyopokelewa na hali ya huduma
Muhtasari wa mmiliki kwenye simu
  1. OdaOrder
  2. JikoniKitchen
  3. MezaniServed
  4. MalipoPaid
  5. StooStock
  6. FaidaProfit

Kila kitu mgahawa unahitaji.
Hakuna daftari tena.

Everything a restaurant needs, and no more notebooks.

Skrini ya jikoni

Tiketi kwa kila kituo, za zamani kwanza. Saa inaonyesha oda inayochelewa kabla mteja hajalalamika.

Kitchen screens per station, oldest first, with a timer on every ticket.
Skrini ya jikoni yenye tiketi za oda na saa

Kasha na pesa za simu

Taslimu, M-Pesa, Mixx na Airtel Money. Kila malipo yanahakikiwa, na kasha anafunga siku kwa hesabu inayolingana.

Cash and mobile money, every payment checked, the till closed with a matching count.
  • Taslimu
  • M-Pesa
  • Mixx by Yas
  • Airtel Money
  • Kadi

Stoo na mapishi

Kila sahani inayouzwa inapunguza stoo kwa mapishi yake. Unajua gharama ya chakula na kinachokaribia kuisha.

Each dish sold takes its recipe out of stock, so food cost is known.

Wafanyakazi

Kuingia kazini, zamu, posho na mishahara. Kila mtu anaona kazi yake tu.

Attendance, shifts and payroll. Everyone sees only their own work.

Oda kwa QR, WhatsApp na mtandaoni

Mteja anaagiza kutoka mezani kwa QR, kwa WhatsApp au kwenye tovuti, na oda inaingia moja kwa moja jikoni.

QR table ordering, WhatsApp and online orders go straight to the kitchen.

Faida ya leo, mfukoni

Mauzo, gharama na faida kwa saa, siku na mwezi. Mambo yanayohitaji uamuzi wako yanakuja juu kabisa.

Sales, costs and profit by the hour, day and month, with what needs you at the top.
Faida ya leo kwenye simu ya mmiliki

Kila mtu ana skrini yake.

Mmiliki, mhudumu, mpishi na kasha wanaona kile wanachohitaji tu, kwenye kompyuta, tablet au simu.

Owner, waiter, cook and cashier each see only what they need, on a computer, tablet or phone.
Skrini ya mhudumu: kazi yangu leo
MhudumuWaiter: tables, orders, bills
Meza na oda: ramani ya meza za mgahawa
Meza na odaFloor plan: every table, its guests and its bill
Tovuti ya mgahawa kwenye simu
Tovuti yakoYour own website and online menu

Matoleo mawili.
Anza na unachohitaji.

Two editions. Start with what you need.

Ndani

Kwa wafanyakazi

Mfumo wa ndani wa mgahawa wako.

The staff edition
  • Oda, meza na jikoniOrders, tables and kitchen screens
  • Kasha na pesa za simuCashier and mobile money checks
  • Stoo, mapishi na gharamaStore, recipes and food cost
  • Wafanyakazi na mishaharaStaff, attendance and payroll
  • Ripoti na faida ya leoReports and today's profit

Kamili

Pamoja na wateja

Kila kitu cha Ndani, pamoja na wateja wako.

Everything in Ndani, plus your customers
  • Kila kitu cha NdaniEverything in the staff edition
  • Oda kwa QR mezaniQR table ordering
  • Oda za mtandaoni na deliveryOnline orders and delivery
  • Kuhifadhi mezaTable bookings
  • Tovuti na app ya watejaWebsite and customer app

Kuanza ni rahisi.

Getting started is simple.

  1. 1

    Tuongee

    Tupigie au tutumie WhatsApp. Tunakuja mgahawani kuona mnavyofanya kazi.

    Call or WhatsApp us. We visit and see how you work.
  2. 2

    Tunaweka menyu yako

    Menyu, bei, meza, vituo vya jikoni na wafanyakazi wako wanawekwa tayari.

    Your menu, prices, tables, stations and staff are set up for you.
  3. 3

    Mnaanza kazi

    Tunafundisha timu yako, na tunabaki nanyi baada ya kuanza.

    We train your team and stay with you after you start.

Tuanze na mgahawa wako.

Tutakuonyesha mfumo ukiwa na menyu yako mwenyewe.

We will show you the system with your own menu.

Una kiungo cha mgahawa wako? Kifungue kama ulivyotumiwa. Have a link for your restaurant? Open it as it was sent to you.